Amerika Kusini

IQNA

IQNA – Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika ya Kusini na Karibiani unafanyika nchini Brazil, ukikusanya viongozi wa Kiislamu kujadili mada ya vijana Waislamu katika enzi ya akili mnemba (AI).
Habari ID: 3481553    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/22

Uislamu Duniani
IQNA – Mji wa Sao Paulo nchini Brazil ni mwenyeji wa Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika Kusini na Karibiani.
Habari ID: 3479841    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

TEHRAN (IQNA)- Kituo kimoja ya Qur’ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kimefungua matawi katika nchi zote za bara la Amerika Kusini .
Habari ID: 3475053    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/19